Khindy Joka Lyrics
"Medicine"

/ 5
0 reviewers
Do you like this song?
(click stars to rate)
save!
my lyricsbox
It seems like my life dream have changed now I still
intent on being a nurse pilot and doctor But the same
field of medicine Verse:I Huh!
wapinzani wanadai hili game gumu,
kukituliza kitenesi Na mfano wangu si wakuigwa kama
una roho nyepesi Wanajaribu batilisha ukweli kua kesi
Wanifanyishe utumwa kwa utwana Kwa rehema zake nabadili
hali mbaya kua njema Na hali njema kua bomba zaidi
ya jana Niite King the Joka ndani ya pango mlima mbeya
nachoropoka Nipishe nipite snitch,
hii story ya kweli inakuhusu inaku-touch Hata hata
kwa bila hizi kiki Kwa nn ni-puff cha kisizo?
na naweza nika-puff the hole stik Chorus: Hii ndiyo
dawa kwa ma-snitch na wambeya Hii ndiyo dawa,
hii ndiyo dawa.... Hii ndiyo dawa.
...mmgh Hii dawa kwa dunia nzima Hii ndio dawa kwa
ma-snitch na wambeya Hii ndio dawa,
hii ndiyo dawa.... Hii ndiyo dawa.
...mmgh Hii dawa we call it medicine Verse:II Hiki
ni kindimbwindimbwi Dunia imechafuka kwa haya mawimbi
Masakubimbimbi wakachukua deal na kulipotezea jiwe
la msingi Ona sasa wengi wangukia pua na refa anapeta
tu, wala hapigi filimbi Ni busara wala si ujuzi unaohitajika
zaidi Napata kutafakari ni jinsi gani nimefika hapa
nilipo Wacha nimshukuru almighty Kwani nilipo ni njia
ya wito Malengo yangu yapo katika kufika kwangu Nafika
kuzimu na kurudi nikikuletea ushuhuda Hawawezi kutembea
jinsi navyotembea na sintoacha hata kama wakivimba
Nadhani ushanipata ni aina gani ya bunduki namiliki
Hivyo unapoteza muda wako bure kunisakanya na huo mkuk-iiiiiiiii Chorus: